Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Yaani simbilisi bwana kajifanya kama hataki vile anabana bana

Mwisho mwarabu kamwagia viwili hapa na kunapoelekea lazima amalizie bao la tatu la mwisho na namna linavyokuwa zito lazima mnyama atoke anachechemea leo
 
Back
Top Bottom