Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Match Day , shirikisho
IMG-20241208-WA0036.jpg


Screenshot_20241207-234855~2.png

Vikosi vya leo

Simba
IMG-20241208-WA0061.jpg


Constantine
Screenshot_20241208-180303~2.png

MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania

kipindi cha kwanza kimeanza
2' Constantine 0-0 Simba

24' GOOOAL M Hussein anafunga goli

Cs Constantine 0-1 Simba

29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji wa Constantine

45' kona ya tatu wanapata Constantine lakini camara anakuwa imara anadaka mpira

Mpira Mapumziko

HT CS CONSTANTINE 0-1 SIMBA SC

Kipindi cha pili kimeanza
45' Constantine 0-1 Simba sc

46' Goal Hamza Abdulzazak anajifunga Constantine 1-1 Simba sc

50' Brahim dib anafunga Goal Constantine 2-1 Simba sc


77' Mukwala na Nouma wanaingia , Mohamed Hussein anakwenda bench

81' Simba wanapoteza nafasi ya kufunga

82' Balua anaingia Okejepha nje

88' Benchaa out Nasir in

90' dakika 4 zimeongezwa

Mpira umeisha

FT CONSTANTINE 2-1 SIMBA SC
 
Ni mechi ya mzunguko wa pili kwa timu hizi mbili..

Mechi ya kwanza CS Constantine walishinda 1-0 dhidi ya CS Sfaxien huku Simba SC wakiwafunga FC Bravos bao 1-0

Je nini kitatokea leo?

#TotalEnergies
#CAFCC
 
Simba itadufuliwa kama ifuatavyo
Constantine 2-1 Simba

Ubashiri wa shehe tumbo umeona simba ikitangulia.
Ubashiri umeona goli la kujifunga.
Ubashiri umeona makolo.

Kubadili matokeo, njoo na ubani kwa shehe tumbo nusu saa kabla.
 
Back
Top Bottom