Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbushe kuwa Aliyemkanda Jana yuko Nafasi ya Tatu na Tunayemtandika Leo ndo kashika nafasi yya kwanza
mujarrab.Uthibitisho upo kisogoni mwako, tazama kisogo chako vizuri utauona uwepo wake.
Umeonaaeee...Kitakachowaumiza sana Amphibians sio wao kufungwa bali SIMBA kushinda hii mechi leo
Facts talk❤❤❤
Naungana na wewe mkuu, huyu dogo ni kichomi, anatoboa mtumbwi, sijui ndiyo kuchoka au pombe kali...Hii Simba ikipata mbadala wa Ahoua itakuwa hatari zaidi
Umeonaaeee...
Uto kwenye moja na mbili... 🐸🐸Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooolllllll
Nmamna gan pale .... makolo wanakandwa heavily [emoji51][emoji51]
Mwaka huu tutakoma.
😂😂😂Zimbwe anataka kumtengua nyonga muarabu wa watu akimbiwe na mkewe