Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

Tumefungwa ila tunashika nafasi ya pili kwenye kundi letu..wamefungwa wanashika mkia
 
Mzee MC alger anashika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi ya Algeria na Constantine anayecheza na Simba Anashika Nafasi ya Kwanza Kwenye Ligi hiyo hiyo ya Algeria na Simba anashika nafasi ya Pili kwenye ligi ikiongozwa na Azam ambaye anapoint 30 huku kacheza Mechi 13 na Simba nafasi ya Pili akiwa amecheza mechi 11 na Point 28 huku yangh akiwa nafasi ya Tatu..
Unataka Niendeelee?

Bingwa mtetezi wa ligi ya algeria ni nani ?

Pia huyo constastine Kama ni bora mbona anacheza shirikisho ?
 
Back
Top Bottom