Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hawa tazami hivyo mtani 😃😀😀Jamani nyie vyura viziwi msimamo unaangalia magoli ya kufungwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa tazami hivyo mtani 😃😀😀Jamani nyie vyura viziwi msimamo unaangalia magoli ya kufungwa...
HahahaNakagua risiti.
Kwa nkapa hatoki mtu
Basi kaa na ubishi wakoHawa tazami hivyo mtani 😃😀😀
😃😀😀😀Basi kaa na ubishi wako
Pole sana, karibu wine hapa 🥂
Mimi hilo litimu, silipendi likifungwa sherehe. Yanga popote ulipo kunywa nakuja kulipaaaaa 🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Kwahiyo unajikana? Yaani simbilizi sijui kwanini kipigo cha mwarabu kimewadatisha namna hiiWe fala mi sina kipara
Kwa taarifa yako kolo nae kashenyetwa.Kwa taarifa yako hii timu inaongoza ligi ya Algeria huku yule aliyekubonda jana akiwa wa tano
Hiyo ni historiaTumecheza mara ngapi hayo mashindano? Cha kukushangaza ni nini?
Mzee MC alger anashika Nafasi ya Tatu kwenye Ligi ya Algeria na Constantine anayecheza na Simba Anashika Nafasi ya Kwanza Kwenye Ligi hiyo hiyo ya Algeria na Simba anashika nafasi ya Pili kwenye ligi ikiongozwa na Azam ambaye anapoint 30 huku kacheza Mechi 13 na Simba nafasi ya Pili akiwa amecheza mechi 11 na Point 28 huku yangh akiwa nafasi ya Tatu..
Unataka Niendeelee?
Kweli wapo serious sana mkuu.Hii simba iko serious asee sio wale chura wacheza jukwaa na media .
Wewe na rage pekee, nyie sio mbumbumbu.Shida ya simba wanakawaida yakuridhika mapema ili goli la mapema sina iman nalo mpaka kipenga cha mwisho ndiyo nitashangalia.
Wanawaokota majalalani sio?Simba watafute wachezaji wakubwa waache kuokoteza akina ahua