Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

Uto wanatafuta point 3 siku ya sikukuu ilhali wanalunyasi wanakula bata tu muda huu..

Sikieni enyi vyura hata mkipata hizo point 3 mtaendelea kushindana na Lamba Lamba kugombea nafasi ya pili.

Acha wenyenchi tuendelee kula bata mida hii no stress.
Mpira saaafi, magoli saaaafi, hakuna offside, hakuna lawama, unamfunga mpinza wako abakubali 101% bila lawama. Masuala ya kushinda na kukosa furaha huku Yanga hatuna. Dodoma kumekucha. 💛💚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…