Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Aliyekudanganya ninani?🤣Darby ni mechi ya upinzani ambazo timu zinatoka mji mmoja. Ndiyo maana ya derby
Manchester derby: city vs unitef
Madrid derby: real vs atletico
North london derby: arsenal vs tottenhum
Milan derby: inter vs ac milan
Hope you understand
Wewe ndio hujui maana ya Derby mkuu jifunze ujue. Derby haina maana ya kutoka sehemu mojaHujui maana ya derby au unajitoa ufahamu
Mimi sipo hapa kubishana mkuu. Nenda hata google basi kajaribu kusachi itakupa maelezo. Kama lengo lako kubishana subiri waje vilaza wenzako.Aliyekudanganya ninani?🤣
Hauna akiliMimi sipo hapa kubishana mkuu. Nenda hata google basi kajaribu kusachi itakupa maelezo. Kama lengo lako kubishana subiri waje vilaza wenzako.
Unlike a sporting rivalry which can be based on league position or history between two teams, a derby is a match between two local clubs that are geographically close to each other - for example teams that are from the same city or from the same part of the country
Kwahiyo Yanga na Abajaro Ni Derby kwasababu zote zinatoka Dar es salam 😂 timu zinaweza kutoka eneno moja na kusiwe na upinzani huwezi kuita Derby na pia zinaweza kutoka maeneo tofauti Kama Manchester na Liverpool na ikatengenezeka DerbyMimi sipo hapa kubishana mkuu. Nenda hata google basi kajaribu kusachi itakupa maelezo. Kama lengo lako kubishana subiri waje vilaza wenzako.
Unlike a sporting rivalry which can be based on league position or history between two teams, a derby is a match between two local clubs that are geographically close to each other - for example teams that are from the same city or from the same part of the country
Dah we hujui na ni mboshi na hutaki kujifunza,hiyo ndio tafsiri ya mjinga,mjinga sio tusi bali ni mtu asiyeelewa kitu fulani na hajui kama hajuiWewe ndio hujui maana ya Derby mkuu jifunze ujue. Derby haina maana ya kutoka sehemu moja
Mbappe ni mzuri ila apewe mudaNgoja tujipange tutarudi vizuri wakati mwingine. Ila Mbappe namuona ni Hazard yule wa Madrid
Sio derby iyoWatu wengi hawajui Derby ya Madrid na Barcelona Ni yasababu za kisiasa
Wewe unasema ukweli?Kuna goli nyingi sana Madrid wakitulia maana hii defence ya Barca ni majanga kuanzia kwa kipa, mabeki mpaka viungo wakabaji.
Muwe mnajifunza kuwa na subra Mpira dkk 90 sio 45Ila Ancelotti anajua sana kucheza mechi kubwa
Acha matusi Kwa fundiHuyu Raphinha ni pumbafu kabisa
Ni Rivalry teams kama Man U Vs Liverpool, Arsenal au Chelsea kwa maanaya timu zenye ushindani na zinafanana au kukaribiana mafanikioSio derby iyo
Iyo sio dortmundTuone kama Madrid watafanya come back
Hauna akiliSio derby iyo
Galactico ile hatuna wa kuisubiri. Huu msimu awe tu makiniMbappe ni mzuri ila apewe muda
Alizingua sana mwanzoni. Ila baadae alitubu 😀😀Acha matusi Kwa fundi
Atafanya vyema wenyewe hamtoaminGalactico ile hatuna wa kuisubiri. Huu msimu awe tu makini