Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

Barca tuna magape makubwa mawili, 1 la kipa wetu Ter Stegen, hili pengo kubwa. Pengo la pili ni Araujo, huyu jamaa anajua sana namna ya kupambana na washambuliaji wasumbufu kama Vinicious.

All in all, game inategemewa kuwa ngumu sana. Barca tunapaswa kupambana kwa jasho kutetea jina la klabu.
 
Back
Top Bottom