Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

How this men goes down easly against this young boyz? Madrid wanapapara sana. Fikiria mpaka sasa wameotea mara 7. Hii inaonyesha ni jinsi gani wana njaa ya kufunga. Ila mipango hawana.
Kwa upande wa barcelona tatizo naloliona ni vijana kukosa nguvu.
Draw itakuwa fair result.
 
Back
Top Bottom