ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sogea kiwanja popotr kajipatie bia zako tatu utakuja kunishukutu kesho asbhHii game naelekea kuikosa maana usingizi nilio nao ni WA mtoto mchanga
Barcelona wamejitafuta wamejipata, so mechi imekuwa na mvutoHii mechi naona imechukua headlines sana leo
Hahaha nakomaa kwenye kochi kiwanja nilikuwa JanaSogea kiwanja popotr kajipatie bia zako tatu utakuja kunishukutu kesho asbh
Mechi kama hizi Huwa hachelew kuchomesha ama kupigwa red.Araujo
Madrid wana hasira balaaHahaha nakomaa kwenye kochi kiwanja nilikuwa Jana