Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Mkuu hapa nilipo niko lindo la usikuLink ya nini wakati azam unajiachia tu.
Unacheki game ilivyo mpaka sasa?Barca wanacheza kitimu zaidi kuliko Madrid yenye majina.
Naipa nafasi Barca sio kushinda tuu leo bali kuchukua La liga
Wenye mikeka unawaumizaNgoma inaisha droo
Naicheki naona utoto tuu unafanywa na madrid langoni kwa Barca, Barca wakipress kidogo watapata goliUnacheki game ilivyo mpaka sasa?
Mara nyingi huwa hivyo kwa team inayo dominateMadrid ametengeneza nafasi nyingi, amepata offside nyingi na amekosa magoli mengi. Hii game kama Madrid atafungwa itakua na maumivu makali sana kwa mashabiki wao.
Aje aongeze ubunifuOlmo olmo olmo....anapaswa kuingia