Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025


Kama unajiu unakaaa mtaani kwangu mda huu nimeachia wifi ya buree Kabisa na natoa ofa ya bia karibu sana kigamboni 😎 Leo tunakeshaπŸ˜ŽπŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Simba walibebwa kwa mbeleko na refa mpaka ikachanika lakini wapi .Goli lenyewe offside,kipa wa F.Gates kupewa red card,nyongeza ya dakika 13,lakini wapiπŸ€”
 
Kamanda pole kamanda
Vijana wa uto hamjieli kumbe., matajiri kama sisi wana simba tukilewa halafu ndio tumepoteza kama hivi ni wakati wenu wakupata chochote kitu ujue?
 
Kumbe utulivu huu umeletwa na Chasambi mwamba kato Assists mbili.
Bahati mbaya wamesahau na golikipa wao Mousa Camara alishawahi kuurudisha ndani mpira uliotoka, huku beki wao Kelvin Kijili naye akitia kamba kwenye goli lake!!

Hawa jamaa kujifunga hawajaanza leo. Hivyo waache kumuandama kijana wetu Chasambi.
 
Huku akijua kipa hayupo, hii ni subortage
Na hata tukiweza kufikiria kwenye bahati mbaya kuwa hakuwa na intention hiyo lakini yale maneno yake kwenye interview yanapunguza viwango vya asilimia vya kufikiria kwenye bahati mbaya.

Hususan pale tunapoangalia scenario ya goli.

Kapiga shuti kali katika moment ambayo hakuna mchezaji pinzani wa kumpa pressure ya kufanya necessary back pass.

Kwa situation hiyo mimi siwezi kuwalaumu watu wanaofikiria kuwa dogo kachomesha makusudi.
 
πŸ˜ƒπŸ˜€

Bahati mbaya wamesahau na golikipa wao Mousa Camara alishawahi kuurudisha ndani mpira uliotoka, huku beki wao Kelvin Kijili naye akitia kamba kwenye goli lake!!

Hawa jamaa kujifunga hawajaanza leo. Hivyo waache kumuandama kijana wetu Chasambi.
Natamani bato ya mtu na mtu tuweke rekodi kabisa
 
Amini maneno yangu huyu dogo Leo kafanya makusudi pale πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Huyo ni jasusi wetu hapo ukoloni bin umbumbumbuni.
 
Kama unathamini madini ninayoandika hata wewe unaweza kufanya maajabu mpesa nikamwagalia moyo na chupa mbili tatu, sio lazima wawe hao mashabiki uliowapoint.
Yah sipo bongo actually ila tuma namba nitume kitu kidogo
 
YANGA BINGWA πŸ’›πŸ’š
Yanga kushuka hiyo nafasi labda dunia ianze upya...
YANGA ni wataalam wa kucheza na saikolojia walikuwa wanamfukuza mwizi kimya kimya... Jambo ambalo Simba hawakulijua na wakajisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…