min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Uzuri mmoja washabiki wa yanga wenye pesa ni wachacheSaizi kila mtaloliongea mtakuwa sahihi
Hata kama mtasema msimu huu Simba inashuka daraja pia mpo sahihi.
Tunajua furaha ni kilevi kibaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri mmoja washabiki wa yanga wenye pesa ni wachacheSaizi kila mtaloliongea mtakuwa sahihi
Hata kama mtasema msimu huu Simba inashuka daraja pia mpo sahihi.
Tunajua furaha ni kilevi kibaya...
😃😃😀😀Una ile video ya yule jamaa anasema inaniuma sana yaani sanaSaizi kila mtaloliongea mtakuwa sahihi
Hata kama mtasema msimu huu Simba inashuka daraja pia mpo sahihi.
Tunajua furaha ni kilevi kibaya...
😃😀Uzuri mmoja washabiki wa yanga wenye pesa ni wachache
Kamanda pole kamandaVijana jiangalieni lakini , kuwa mshabiki wa uto kume kupa nini maishani?
Aende YangaChasambi alisema lolo modo wake ni max...
Vijana wa uto hamjieli kumbe., matajiri kama sisi wana simba tukilewa halafu ndio tumepoteza kama hivi ni wakati wenu wakupata chochote kitu ujue?Kamanda pole kamanda
Bahati mbaya wamesahau na golikipa wao Mousa Camara alishawahi kuurudisha ndani mpira uliotoka, huku beki wao Kelvin Kijili naye akitia kamba kwenye goli lake!!Kumbe utulivu huu umeletwa na Chasambi mwamba kato Assists mbili.
Na hata tukiweza kufikiria kwenye bahati mbaya kuwa hakuwa na intention hiyo lakini yale maneno yake kwenye interview yanapunguza viwango vya asilimia vya kufikiria kwenye bahati mbaya.Huku akijua kipa hayupo, hii ni subortage
Natamani bato ya mtu na mtu tuweke rekodi kabisaBahati mbaya wamesahau na golikipa wao Mousa Camara alishawahi kuurudisha ndani mpira uliotoka, huku beki wao Kelvin Kijili naye akitia kamba kwenye goli lake!!
Hawa jamaa kujifunga hawajaanza leo. Hivyo waache kumuandama kijana wetu Chasambi.
Amini maneno yangu huyu dogo Leo kafanya makusudi pale 😀😃Na hata tukiweza kufikiria kwenye bahati mbaya kuwa hakuwa na intension hiyo lakini yale maneno yake kwenye interview yanapunguza viwango vya asilimia vya kufikiria kwenye bahati mbaya.
Hususan pale tunapoangalia scenario ya goli.
Kapiga shuti kali katika moment ambayo hakuna mchezaji pinzani wa kumpa pressure ya kufanya necessary back pass.
Kwa situation hiyo mimi siwezi kuwalaumu watu wanaofikiria kuwa dogo kachomesha makusudi.
🤣🤣🤣 Ni vile tu uwanja hauna Taa ngoma ingeenda adi usikuUfurahi na nani goigoi wewe
Mkuu jiheshimu tafadhali🤣🤣🤣 Ni vile tu uwanja hauna Taa ngoma ingeenda adi usiku
Huyo ni jasusi wetu hapo ukoloni bin umbumbumbuni.Na hata tukiweza kufikiria kwenye bahati mbaya kuwa hakuwa na intension hiyo lakini yale maneno yake kwenye interview yanapunguza viwango vya asilimia vya kufikiria kwenye bahati mbaya.
Hususan pale tunapoangalia scenario ya goli.
Kapiga shuti kali katika moment ambayo hakuna mchezaji pinzani wa kumpa pressure ya kufanya necessary back pass.
Kwa situation hiyo mimi siwezi kuwalaumu watu wanaofikiria kuwa dogo kachomesha makusudi.
Kama unathamini madini ninayoandika hata wewe unaweza kufanya maajabu mpesa nikamwagalia moyo na chupa mbili tatu, sio lazima wawe hao mashabiki uliowapoint.Mkuu unaandika madini sana ila hao washabiki wa uto walisha kupa shilling ngapi ? Kuendeleza harakati
Yah sipo bongo actually ila tuma namba nitume kitu kidogoKama unathamini madini ninayoandika hata wewe unaweza kufanya maajabu mpesa nikamwagalia moyo na chupa mbili tatu, sio lazima wawe hao mashabiki uliowapoint.