Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Hata mimi nashangaa sana sijui benchi la ufundi halioni tatizo hapa!
Maana ni bora ubutue mpira hovyo au uutoe nje kuliko hizi back pass ambazo zimetugharimu mara nyingi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hili ni tatizo la kudumu simba na ubaya zaidi ni kuwa kila mara wanafungwa na hawaachi kurudisha mipira nyuma,

Ni kama vile wamedhamiria. Wajinga sana hawa simba na benchi lao lote la ufundi na viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…