Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Maumivu ni makali leoVijana wa uto hamjieli kumbe., matajiri kama sisi wana simba tukilewa halafu ndio tumepoteza kama hivi ni wakati wenu wakupata chochote kitu ujue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu ni makali leoVijana wa uto hamjieli kumbe., matajiri kama sisi wana simba tukilewa halafu ndio tumepoteza kama hivi ni wakati wenu wakupata chochote kitu ujue?
Nakazia Chasambi hana baya yaani. 🤣🤣🤣King Chasambi huna baya mwanetu, wasikuzingue hao, mechi ijayo wakikupanga, piga mawili kwenye goli lenu. Wamezoea mbeleko.
Next move GSM anaharibu tunahamia ligi ya znzHalafu wewe nilikua nakuonaga wa maana kumbe ni shabiki wa Yanga???
Hata yale mazuri ambayo umekuwa ukiyaandika naanza kuyatilia mashaka.
Swahiba nasikia game ijayo kibeg cha pesa kitakia cha chasambi hapo kmc complexNakazia Chasambi hana baya yaani. 🤣🤣🤣
Hahahaaa. Ni kweli Swahiba. 😂😂Swahiba nasikia game ijayo kibeg cha pesa kitakia cha chasambi hapo kmc
Maumivu wanayopitia makolo hayana mfanoHahahaaa. Ni kweli Swahiba. 😂😂
Bado etiWamesha kupa au bado?
Ngoja tuone
Mrejesho plzWakati tutakapomuua Fountain Gate tunaomba Ali Kamwe awe kama VAR ili kupunguza kisukari kwa wana nyuma mwiko
HongeraUtopolo wakumbushwe kusreen shot msimamo.
🤣🤣🤣🤣
Jiheshimu broMaumivu ni makali leo
Refa alikuwa amebeti mkeka ulikuwa unaenda kuchanika mbele yakeSasa hii ndo style gani ya kutoa kadi?!😅😅😅
View attachment 3227098Kuonesha kabsa kua refa alikua anaumizwa na haya matokeo ilibidi tu atoekadi kwa mikono miwili kama kwaya master 😅😅😅
Mtu wa maana kabisa huyuKing Chasambi huna baya mwanetu, wasikuzingue hao, mechi ijayo wakikupanga, piga mawili kwenye goli lenu. Wamezoea mbeleko.
Hili ni tatizo la kudumu simba na ubaya zaidi ni kuwa kila mara wanafungwa na hawaachi kurudisha mipira nyuma,Hata mimi nashangaa sana sijui benchi la ufundi halioni tatizo hapa!
Maana ni bora ubutue mpira hovyo au uutoe nje kuliko hizi back pass ambazo zimetugharimu mara nyingi
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app