900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
lazma wafe 2-0 FTWatakwita mchawii
Una number za refa?Hii game lazima simba tushinde mbili zilizonyooka...
MBILI ZA HALALI SIMBA ATSHINDASasa hivi Kuna line zitasoma m-pesa kulainisha mambo kipindi cha pili otherwise upatikane mkwaju wa penalty ya mchongo kama kawaida yao
Umeanzaa ntakupiga maombiiNaona utabiri wangu wa draw unaenda kutimia.
Kama diaraaHuyu kipa ni noma
UtapataMimi 5imba kindaki ndaki, kolo kutoka mitaa ya bunju, nasema 5imba inipe draw tu nitaridhika.