Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

Mimi ni Simba Damu ila Kwa Yeyote ambaye hajawahi kufanya makosa awe wa kwanza kumlaumu Chasambi..

Mpira ni mchezo wa Makosa na vilevile kukosea ni sehemu ya maisha
Labda uwe Simba maji. Wewe si ndio mgawa supu maarufu hapo Uto.
Kwanini unaongopa hadharani ?
 
20250203_171200.jpg
 
Yah, na mnaweza kushinda, Simba haina hii presha, wakati ukimfikiria Simba, Simba inapiga mahesabu ya nusu fainali michuano ya kimataifa ya sasa na yajayo.
Labda mwaka huu watafika nusu fainali but always wanaishiaga quarter finals.
 
Kama una busara, ukiona Simba kunawaka moto, wapelekee petroli, usiwapelekee maji. Kwa sasa hivi wameashapaniki na moto umeaza kuwawakia, tupeleke petroli nyingi sana. Mimi nitapeleka pipa moja
 
Back
Top Bottom