Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Huku Maloid kule Jonathan Sowah..

Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.

Gaborone United, maarufu kama GU, ni klabu kongwe yenye hadhi ya kifahari nchini Botswana. Ilianzishwa mwaka 1967, na leo ikiwa chini ya Mkurugenzi Nicolas Zackhem pamoja na kocha wake Dimitar Pantev, timu hii imesalia kuwa nguzo kubwa ya soka nchini humo kwa zaidi ya miaka 58.

Msimu uliopita, walionekana moto wa kuotea mbali baada ya kutwaa ubingwa kwa kukusanya pointi 66, huku Rollers wakikosa nafasi hiyo na Jwaneng Galaxy wakimaliza wa nne.

Screenshot_20250920-193814~2.jpg

All the best Simba SC
#Nguvu moja🦁
 
Gaborone United

Gaborone United currently ranks 2nd in the Botswana Premier League among all 17 clubs competing in the championship
 
Piga nyumbu za kariakoo mpaka ziombe maji.

Leo naona wazi kolo anachapika aisee, watabaki kwa mkapq hatoki mtu ila hawatafunga goli hata moja kwa mkapa na ndio utakua mwisho wao.
 
Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.

Gaborone United, maarufu kama GU, ni klabu kongwe yenye hadhi ya kifahari nchini Botswana. Ilianzishwa mwaka 1967, na leo ikiwa chini ya Mkurugenzi Nicolas Zackhem pamoja na kocha wake Dimitar Pantev, timu hii imesalia kuwa nguzo kubwa ya soka nchini humo kwa zaidi ya miaka 58.

Msimu uliopita, walionekana moto wa kuotea mbali baada ya kutwaa ubingwa kwa kukusanya pointi 66, huku Rollers wakikosa nafasi hiyo na Jwaneng Galaxy wakimaliza wa nne.

1758350060951.png

-1335248324.jpg

Kikosi Cha Simba kinachoanza dhidi ya Gaborone

​
 
Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki.
View attachment 3476223
Kwavile mnaanzisha nyuzi nyingi.. Lolote liwakute.
 
Back
Top Bottom