Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

Simba wanacheza hovyo sana na katikati wanakatika sana wasipokuwa makini atafungwa
 
Kwa huu uchezaji naona Simba haina Kocha. Sijui kwanini hawakumchukua hata Ibenge musimu uliopita?
 
kwa mpira huu wa simba aibu wanaona mashabiki wao yani forward aliekataliwa wydad huku anaanza kipindi cha kwanza, kibaya zaidi hajui chochote 😂😂😂
 
Kama hii ndo Botswana mnaowambia vijana wazamie nmeshtuka reporter alipo kua anazunguka mtaani nmeshangazwa maeneo makavu yani tunyumba hata bongo afadhali namanisha mwanza ni bora kuliko huo mji shame on you yani jamaa anahojiwa ukimuangalia tu unaona Hana furaha kachoka Hali mbaya
 
Bado kuna kazi ya kufanya kufanya timu icheze vizuri zaidi michezo ijayo. Hii Gaborone UTD imepeleka moto wa kutosha. Sio timu ya kubeza hata kidogo
 
Back
Top Bottom