Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Utajionea, ushawasahau Makhirikhiri mara hii??Timu yenye kutoka Botswana? Hamna timu kule
Utajionea, ushawasahau Makhirikhiri mara hii??Timu yenye kutoka Botswana? Hamna timu kule
Simba wanafungwaMUNGU saidia Gaborone washinde 4 bila
Halafu siku nyingine hakikisha unaanzisha uzi wa mechi kwenye siku husika. Huu uzi wako uliuanzisha jana saa nne na dakika 57 usiku! Halafu mechi inacheza leo. Ukiangalia hapo juu uzi unaonekana ni wa jana!! Ulikuwa una haraka ya nini?
TusipangianeHalafu siku nyingine hakikisha unaanzisha uzi wa mechi kwenye siku husika. Huu uzi wako uliuanzisha jana saa nne na dakika 57 usiku! Halafu mechi inacheza leo. Ukiangalia hapo juu uzi unaonekana ni wa jana!! Ulikuwa una haraka ya nini?
By the way, sina ninayemtakia ushindi.
Fuata tu utaratibu. Hakuna anayekupangia.Tusipangiane
Basi ufute
Anzisha uzi kwenye siku husika ili uwe na tija. Uzi wako unaonesha ni wa jana, na wakati mechi ni leo.Utaratibu gani
Mkuu okoa muda wako, lalamikia mambo yenye athariAnzisha uzi kwenye siku husika ili uwe na tija. Uzi wako unaonesha ni wa jana, na wakati mechi ni leo.
🤣🤣siku yako inaenda kuvurugwa...😁
That means Simba wasiwadharau hao jamaa.Gaborone United
Gaborone United currently ranks 2nd in the Botswana Premier League among all 17 clubs competing in the championship