Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

Huku Maloid kule Jonathan Sowah..


View attachment 3476062
All the best Simba SC
#Nguvu moja🦁
Halafu siku nyingine hakikisha unaanzisha uzi wa mechi kwenye siku husika. Huu uzi wako uliuanzisha jana saa nne na dakika 57 usiku! Halafu mechi inacheza leo. Ukiangalia hapo juu uzi unaonekana ni wa jana!! Ulikuwa una haraka ya nini?

By the way, sina ninayemtakia ushindi.
 
Moderator, hebu wasaidieni hawa Makolo wawe na uzi mmoja tu. Kuna Makolo mwingine alishaanzisha uzi tangu jana usiku wa saa nne na dakika 57!
 
Tusipangiane
Basi ufute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…