Kwanini wanacheza usiku hao ilibidi wacheze jioni ili wapigwe vizuriSaa 2 usiku
Ligi sisi ndo tunaianza leo, hawa Migos kama uliwabetia we unge cash out tu uchukue hata nusa hasaraChelsea wana redcard lakini bado man u mtapigwa.
Kabisa mkuu hii iishe huko huko ugeniniMechi tunataka tuimalize huku huku maana tumeambiwa kwa Mkapa mashabiki haturuhusiwi
Wasitupe sababu ya kuona umuhimu wa kwenda uwanjani kuwasapotiKabisa mkuu hii iishe huko huko ugenini