Anachomeshaga sana huyo, ndo mana walikuwa wanagombana na Ngoma.Huyu Camara awe muangalifu asiwachukulie poa hawa majamaa
Azam wamepeleka kamera huko??Kama kuna mtu anaweza kuwafikia azam awaeleze kuhusu quality ya camera ama wapunguze taa kwa kuwa uwanja una taa kali.
Wanazingua sana aiseee.Hawa simba kama vile hawakuwa na pre season.
Huyu kocha asepe tuWanazingua sana aiseee.
Kwa Neo Maema Simba imepigwa pakubwa sana. Hakuna mtu mule.Ahoa na maema wanazungusha matako tu
Kwaio unashaurijeHii simba hakuna timu