Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

Last season simba ilionyesha total dominance game moja tu dhidi ya dodoma jiji pale KMC complex ila zingine zote Simba haikuweza kudisplay mchezo mzuri that's why ushindi wa papatu kwa matuta tukasema balidi labda ni msimu wa kwanza. msimu huu Simba day ni vile tu Gormahia tuliwaambia mukitufunga hampati nauli ya kurudi kwenu, kariakoo derby second half akarudia script za Simba day na ile derby ya 2-0 last season, team imekuwa easy kuidispossess, can't manage even 8 f*cking accurate passes. mpinzani anawastani wa sekunde 8-12 kurecover possession (kwa maana simba haimiliki mpira zaidi ya sekunde 10 while in opponents' half), huu use.nge hauvumiliki hatuhitaji hata game 5 kumtathmini Fadlu na tactics zake mbovu. hafai hata kuwa Video analyst wa timu
 
Tuwe wakweli hapa hakuna timu ya maana ya kushindana hakuna kocha. Kwa uchezaji huu labda nafasi ya nne.
Unajiuliza hawa walienda kufanya nini Misri. Huo usajili mpya ndio upuuzi kabisa, labda huyo tozi wa Mamelodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…