Full Time: KMC FC 1 -6 Yanga SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 14, 2025

shida wana hamu ya kukumbushia rekodi ya 1-5 likipatikana goli moja utaona wanatulia
Wasijali iko siku watakumbushwa kuwa Yanga iliwahi kutundikwa bao sita mtungi(6-0) na Simba.

Mwaka 2027 itatimia miaka 50 tangu Abdalah Kibadeni kufunga hat trick dhidi ya utopoloπŸ˜„πŸ˜€
 
Nilitamani sana liongezwe Moja TUπŸ™„manyau nyau yanaumia 😑😑😑haya magoal ya yanga maana yanaona kabisa yanashindwa kutufikia GD.πŸ˜„
 
yaani historia imegoma kabisa, makolo wanaroga kumbukumbu isikumbushwe tena
Ibada za kijimwambafu kupitia history yaani yaliyopita ni sumu mbaya mno inayoitafuna utopwinyo muda wote coz hamna jipya zaidi ya kuabudu yaliyopita πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwakakundi mtaacha lini kulamba sumu sumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…