Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utarudi mechi na nyau tunamvutia kasiYanga wanaongoza goli 2 ila sifurahishwi na mpira wanaocheza ile kasi na mpira wao wa kuburudisha umepotea kabisa
Kama hakuna mabadiliko nyau watatufunga, bingwa wa nyau hatunaye tena yule masterutarudi mechi na nyau tunamvutia kasi
Mzize kwenye penalty huwa hajui lango lilikoMzize kasababisha penalt na wala hajapiga ila angekuwa yule baunsa wa kolo angeng'ang'ania apige yeye ili tu aongeze idadi ya magoli
Hamna coach wa ku work on penalties zao? Ndio maana wakifika hatua ya mtoano kwa penalty wana perform poor. Ni la kutilia umakiniMzize kwenye penalty huwa hajui lango liliko
Tena?Yanga wanaongoza goli 2 ila sifurahishwi na mpira wanaocheza ile kasi na mpira wao wa kuburudisha umepotea kabisa
Na wakimjua atakua anapigwa sanaDiarra za mbali anatunguliwa tu
Wanaruka ruka tu.Hawa KMC nao viazi tu.. kutafta penalt za nini sasa
JKT walipiga za mbali siku zile ila hawakujua tu kulenga goli.Na wakimjua atakua anapigwa sana
wanatamani wapigwe tena 5-1 kama nyau nao wabandikwe kwenye bango mjiniHawa KMC nao viazi tu.. kutafta penalt za nini sasa
alisogea mbele hakunusa hatari ya jamaa kukunjukaDiarra za mbali anatunguliwa tu