Ni mtazamo tu boss. Ila kwa hapa sasa ni kila mtu ashinde mechi zake.Me naonA tukicheza na mc Alger akiwa anatafuta points hapo tunaweza kukwama
Mc Alger ndo mbabe
Hao wengine tunakamatana tu
Yanga ana tundu dogo mno la kuvuka makundi, akikaa vibaya ni kipande cha mwiko tu ndo kitapita.Saizi ameanza eti kufurahia Mc Alger kupoteza.
Hahahahaha.๐คฃ๐ ๐
Nisamehe bhn
Tunakuwa tunaenda vizuri ila Sasa watani wananipopoa na Mimi naona usiwe kinyume Wacha niwajibu๐
Hana zaidi ya counterIbenge ana ni mzoefu wa haya mashindano
Vibonde?..kuna nyakati al ahly hushika nafasi ya piliNa ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.
Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Ila we dogo mbishi sana๐คฃTofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
Counter ni sehemu ya mbinu za mchezo.Hana zaidi ya counter
Ameshinda gemu moja tu na Simba na kupigwa gemu 3 akicheza hiyo counter attack.Counter ni sehemu ya mbinu za mchezo.
Jambo zuri amecheza hivyo mara nyingi na maadui zake wameshindwa kuvunjร ukuta wake.
Apewe maua yake
Alifunga yanga kwa mbinu hiyo piaAmeshinda gemu moja tu na Simba na kupigwa gemu 3 akicheza hiyo counter attack.
Nafas bado ipoAl-Hilal ameshajihakikishia nafasi yake huko robo fainali. Ila Yanga na TP Mazembe wana njia ndefu sana kufikia robo. Yanga anatakiwa ashinde michezo yote ya nyumbani pamoja na mchezo mmoja wa nje uliobaki. Ni kazi kubwa sana
View attachment 3176928
Nilikuwa natamani hivyo pia.Saizi ameanza eti kufurahia Mc Alger kupoteza.
Akifungwa mechi zote zilizobakiAl-Hilal ameshajihakikishia nafasi yake huko robo fainali. Ila Yanga na TP Mazembe wana njia ndefu sana kufikia robo. Yanga anatakiwa ashinde michezo yote ya nyumbani pamoja na mchezo mmoja wa nje uliobaki. Ni kazi kubwa sana
View attachment 3176928
hapana, anahitaji point 3!๐๐ถ๐ถ ๐๐น ๐๐ถ๐น๐ฎ๐น ๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ต๐ฎ๐ณ๐๐๐ 90%, ๐ถ๐ป๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐ฝ๐ผ๐ถ๐ป๐ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐๐
Hata kipindi tunacheza na Belouizdad alikua anatafuta matokeoUsiombe tucheze na mc Alger akiwa anatafuta matokeo