mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Asilimia kubwa ya wanywa supu wanadai Wana point 10 na tayari wamefuzu. Watashinda mechi zote tatu zilizobaki ๐๐ Hawajui Ile ilikuwa NGUVU ya masindano๐คฃ๐คฃKuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
๐คฃ๐ ๐Sasa mkuu mbona kila matokeo yanapobadilika unaanza kuwa na hasira na kutoa maneno ya kashfa,mbona hapo awali tulikuwa tunaenda vizuri
Sawa ila haibadilishi matokeoAcha ujuaji wakati mbele giza azam wanapokea tu matangazo siyo camera zao usiwe unaongea pumba mbele za watu utachekwa
Du anachapika home? Hawa omdumange๐คฃ ni kibokoMc Alger
Hayo mashindano si ndio mlipata medali mkazifunga kiunoni kama shanga.Leo hayo mnayoyaita ya,wanaume mnaburuza mkia.Au nyinyi wanaume suruali.Ni vibonde kuliko 5imba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama
Vipi 5imba alofungwa mara nne mfululizo na wapo kwenye mashindano ya akina mama ndo wapo vizuriAsilimia kubwa ya wanywa supu wanadai Wana point 10 na tayari wamefuzu. Watashinda mechi zote tatu zilizobaki ๐๐ Hawajui Ile ilikuwa NGUVU ya masindano๐คฃ๐คฃ
Ibenge ana ni mzoefu wa haya mashindanoDu anachapika home? Hawa omdumange๐คฃ ni kiboko
Yale yalikuwa yanaitwa shirikisho ila haya ni mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda Kiongozi pale SimbaHayo mashindano si ndio mlipata medali mkazifunga kiunoni kama shanga.Leo hayo mnayoyaita ya,wanaume mnaburuza mkia.Au nyinyi wanaume suruali.
Ndio maana mlimpelekea Mama medali za silver ๐คฃ๐คท๐คทVipi 5imba alofungwa mara nne mfululizo na wapo kwenye mashindano ya akina mama ndo wapo vizuri
Yanga tupo CAFCLNdio maana mlimpelekea Mama medali za silver ๐คฃ๐คท๐คท
Tunaomba wanywa supu mje mtupe hesabu za 'Aki' na 'Tuki' ๐๐๐Results: FULL TIME: 90 ' + 6'=96'
MCA 0 - 1 AL HILAL OMDURMAN SUDAN
Goal : Guessouma Fofana 76'
Zile medali zilikuwa za kombe gani mlizokuwa mnazurura nazo?Yanga tupo CAFCL
5imba ipo shirikisho yaani mashindano ya akina
Mbumbumbu msipende kujileta huku Kwa wanaume
Bakini huko umamani, mcheze vikoba
Haya ya kwenu ni wanaume haswa na wanaume suruali.Yaani waliongukiwa na kitovu.Yale yalikuwa yanaitwa shirikisho ila haya ni mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda Kiongozi pale Simba
haaa,,,kwaio huko mmeshashinda mechi ngapi kocha Saidi๐คฃ๐Yanga tupo CAFCL
5imba ipo shirikisho yaani mashindano ya akina
Mbumbumbu msipende kujileta huku Kwa wanaume
Bakini huko umamani, mcheze vikoba
Joka la kibisa limekufunga mara nne mfululizo, pamoja na kipigo cha goli 5Haya ya kwenu ni wanaume haswa na wanaume suruali.Yaani waliongukiwa na kitovu.
Nyoka wa kibisa.Ajabu nyoka wa kibisa ndio wenye ngebe.