Tulia tutaanza kushinda mechi zijazohaaa,,,kwaio huko mmeshashinda mechi ngapi kocha Saidi🤣😅
Mpira una maajabu asee,ukute iyo point moja haipati na anatolewa.Alafu anafuzu Uto na hao waarabu wa kisukuma.𝗛𝗶𝗶 𝗔𝗹 𝗛𝗶𝗹𝗮𝗹 𝗶𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝗳𝘂𝘇𝘂 90%, 𝗶𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗽𝗼𝗶𝗻𝘁 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘁𝘂
Hii ya Leo wanasema wameshinda. Kweli siku zinaenda Kasi Sana Yanga Leo wanalala usingizi mnono Kwa droo?😄😄haaa,,,kwaio huko mmeshashinda mechi ngapi kocha Saidi🤣😅
Zilikuwa za shirikisho sio za hili kombe la akina mamaZile medali zilikuwa za kombe gani mlizokuwa mnazurura nazo?
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mamaHii ya Leo wanasema wameshinda. Kweli siku zinaenda Kasi Sana Yanga Leo wanalala usingizi mnono Kwa droo?😄😄
Hizi ngonjera zimekuwa kama albamu iliyokwaruzika.Tuta Tuta tuta.Kwenye ligi mmeshaburuzwa mara 2 mmebaki na historia.Tulia tutaanza kushinda mechi zijazo
Saidi acha kibri.Tulia tutaanza kushinda mechi zijazo
NBCPL tunabebaHizi ngonjera zimekuwa kama albamu iliyokwaruzika.Tuta Tuta tuta.Kwenye ligi mmeshaburuzwa mara 2 mmebaki na historia.
Mbumbumbu mmechanganyikiwaSaidi acha kibri.
Mechi gani wewe Saidi utashinda?
Washindi wa miaka miwili mfululizo wa Shirikisho ndio bingwa wa Super Cup kwa kuwaburuza Al Ahly 2023 na 2024.Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
Muda unaenda speed sana,leo hii Yanga ya kuomba mechi na Madrid wanapumua kwa kupata draw kwa mzembe,tena draw ya chupuchupu😅🤣Hii ya Leo wanasema wameshinda. Kweli siku zinaenda Kasi Sana Yanga Leo wanalala usingizi mnono Kwa droo?😄😄
Labda mmebebe mimba.NBCPL tunabeba
FA tunabeba
CAFCL tunabeba
Tutawaachia mapinduzi cup ambayo nayo imefutwa
Kabla hatujafika tulipofika ulikuwa na maneno mengi ya kusema dhidi ya timu yako.Ndo nasema hatujafuzu wala hatujatoka
Tungoje muda
Utaamua kama tunatoka au tunafuzu
Hapa tunabishana tu ushabiki
Tusubiri michezo tuone
Babu yake Gamondi ana urafiki mkubwa na mzee Masanja wa Gamboshi Shinyanga😀🤣Mbumbumbu mmechanganyikiwa
𝗔𝗶𝘀𝗲𝗲Mpira una maajabu asee,ukute iyo point moja haipati na anatolewa.Alafu anafuzu Uto na hao waarabu wa kisukuma.
Basi shirikisho yaani mashindano ya akina mama ni Bora kuliko CAFCLWashindi wa miaka miwili mfululizo wa Shirikisho ndio bingwa wa Super Cup kwa kuwaburuza Al Ahly 2023 na 2024.
Mwaka 2023 USM kwa kuwafunga Al Ahly 1-0.Na 2024 Zamalek alimburuza Al Ahly kwa penalti 6 kwa 5.
Ila kwa ujinga wako wa kufuata mkumbo na kutojua mpira unaropoka tu.
Kwenye kundi lenu Sidhani kama mtapata furaha.Anayefurahi mwisho ndo anafurahi vizuri
Nabishana na senge mimi nilidhani una jua mpira kumbe shabiki maandazi.Basi shirikisho yaani mashindano ya akina mama ni Bora kuliko CAFCL
Furahi mbumbumbu 😅😀😀
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mamaKabla hatujafika tulipofika ulikuwa na maneno mengi ya kusema dhidi ya timu yako.
Leo umekuwa mpoleee🙄🤣
Mechi tatu tu mnahesabu point kwa vidole🤣
Hiyo ndiyo Champion League.
Hakuna kudekezana huko
Mechi ya marudiano haitakuwa nyepesi na hata wao Mc Alger ni lazima watafute mechi yeyote ya away ya kufidia hizi point 3 walizopoteza leo.Mbona kama ataweka nguvu kwenye mechi ya marudiano na Mc Alger kwao maana ndo ya kufuzu na hamna atakayemkuta,maana ndo watarudiana kabla ya Yanga na Mazembe ,hiyo haitampa unafuu Yanga kwamba anaweza asimkazie maana atakuwa ashafuzu?