Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Labda tushinde njaa..!Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
Stars imfunge Morocco kwao!?
Kichekesho..🤣🤣
Labda tushinde njaa..!Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
Nawaamimi vijana watapambana. Tuna kina Kapombe, Zimbwe, Kibu wameshawahi kukaza mbele ya Wydad na mashabiki wako ndani ya uwanja wa Mohammed V.Labda tushinde njaa..!
Stars imfunge Morocco kwao!?
Kichekesho..🤣🤣
natamani kuishangalia stars ila kila nikikumbuka uchawa wa ccm na maza nasema tu wacha wapigwe kama ngomaHao watoto wa maza wapigwe tu ili ngebe za machawa wa maza zife
Tumuulize digala madilu system?Tungewapata wale keyekeh na arthur bada mambo yangekuwa mukide kweli kweli.
Kwa nini hawajaitwa national team na wakati tayari raia
Unachanganya watu ni saa sita na Nusu ( usiku wa leo jumanne )00:30 nadhani ni usiku wa kesho
Usiku wa leo jumanne saa sita na nusu tayari umeshapitaUnachanganya watu ni saa sita na Nusu ( usiku wa leo jumanne )
Tanzania akitoa walau sare natembea Uchi katikati ya Kariakoo pale
Wagome tu kuepusha aibuUsiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo utakuwa live kupitia Azam Sports 1HD na DStv 227
Yaani staz wapigwe...natamani kuishangalia stars ila kila nikikumbuka uchawa wa ccm na maza nasema tu wacha wapigwe kama ngoma
Thanks, na Argentina vs Brazil?Unachanganya watu ni saa sita na Nusu ( usiku wa leo jumanne )
ni kesho maana tarehe itakuwa imebadilikaUnachanganya watu ni saa sita na Nusu ( usiku wa leo jumanne )
Wakikaza matako watakimbiaje?Tusihe tukala 6 tuu jamani. Wachezaji kazeni matako mtutoe kimasomaso