Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Kunywa maji mengi kwanzaUgome yalipo makao makuu ya Caf! wawaulize Ahly ambao wako jirn tu na shirikisho nn kimetokea
Kunywa maji mengi kwanzaUgome yalipo makao makuu ya Caf! wawaulize Ahly ambao wako jirn tu na shirikisho nn kimetokea
Mambo cuteMungu ibariki Tanzania 🎵
Kunywa maji mengi kwanza
Mi sijui simu yangu ni android gani
Cheki Setting hafu AboutMi sijui simu yangu ni android gani
Hamza vipi hayupo.... Anamtoa Baca anamtoa Baca...Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo utakuwa live kupitia Azam Sports 1HD na DStv 227
View attachment 3283206
Hawa nigeria wamekuwa wangese ngeseZimbabwe haoView attachment 3283124
Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo utakuwa live kupitia Azam Sports 1HD na DStv 227
View attachment 3283206
WhyHawa nigeria wamekuwa wangese ngese
Sasa nigeria unashindwaje kumfunga zimbabwe nyumbaniW
Why
Shukrani mkuuCheki Setting hafu About
hawana asaraSasa nigeria unashindwaje kumfunga zimbabwe nyumbani
Tunahitaji vipaji vipyaVp kwa hili kosi tunatoboa kweli?View attachment 3283208
Kwa niabaa ya mikeka🤣Sasa nigeria unashindwaje kumfunga zimbabwe nyumbani