DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Salim ana majukuku mazito ya kitaifa wiki ijayo na kipa namba moja Camara ana majeraha. Kwa hiyo Salim lazima alindwe.Huyo golie wa JKT Ruvu kapewa namba kishikaji au anajua kweli
Salim ana majukuku mazito ya kitaifa wiki ijayo na kipa namba moja Camara ana majeraha. Kwa hiyo Salim lazima alindwe.Huyo golie wa JKT Ruvu kapewa namba kishikaji au anajua kweli
Hakuna kitu,tunakandwa za kutosha,nimeweka mzigo ninunulie watu abaya
AmestahiliHuyo golie wa JKT Ruvu kapewa namba kishikaji au anajua kweli
Wewe unajua kuna nati haziko sawa kichwaniSalim ana majukuku mazito ya kitaifa wiki ijayo na kipa namba moja Camara ana majeraha. Kwa hiyo Salim lazima alindwe.
Ngoja niifatePost number 52 jamaa kanipa,iko fresh tu