DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Mtanisamehe ila sijawahi kumkubali Msuva ingawa amekuwa na ngekewa ya kuifungia Stars magoli
Bado tunachez hovyo sanaTumekaa sana nyuma
Bado tunachez hovyo sana
mechi dakika ya 12,golikipa w Taifa stars kaumia na tuko IcuUsiku wa leo jumanne saa sita na nusu tayari umeshapita
Huyu kipa ni ngongoti, atatusaidia mipira ya juu
Ni tatizoMwili hana
Ana mwili sahihi ila nadhani ana udhaifu kwenye udakaji wa krosi na kona. Catching yake siyo imara.Huyu kipa ni ngongoti, atatusaidia mipira ya juu
Atajifunza humo humo, maana Simba na Yanga mmeamua kuleta magolie wa kigeniAna mwili sahihi ila nadhani ana udhaifu kwenye udakaji wa krosi na kona. Catching yake siyo imara.