hajazoea hizi mikikimikikiMambo mazito, kipa Yakub Taifa Stars aomba sub
kauli kali sana hiiTumejitahidi. Nusu saa imepita bado hatujagongwa.
Aingie naniHuyu kipa wa jeshi atolewee
Magazeti yanabidi asubuhi yawepo sokoni kila mkoa, utajua unasafirishajeWa magezeti ndo watapata taabu sana au wachapishe tu habari kwamba taifa star yadoncosha point tatu muhimu,
Maana kufungwa ni lazima