Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Kazi nzuri wamefanya

Wakiongeza upambanaji hatufungwi hii mechi.

Tukipata nafasi ya counter attack tukawafunga naimani hilo goli haliwezi kurudi kutokana na nidhamu ya ulinzi waliyoionesha
 
Kazi nzuri wamefanya

Wakiongeza upambanaji hatufungwi hii mechi.

Tukipata nafasi ya counter attack tukawafunga naimani hilo goli haliwezi kurudi kutokana na nidhamu ya ulinzi waliyoionesha
Stars kwa kulipaki hawajambo
 
Tanzania wanajilinda tu hakuna wanachofanya ni kama wanapunguza idadi ya magoli. Morocco 2nd half inaingia ikiwa na tamaa ya kuwagongomelea misumali ya nchi 6.

Nawatakia ushindi mwema wana Morocco nlikuwa huko kwenu miezi miwili iliyopita mlinipati demu mkali sana Salma siwezi msahau.

Wachapeni hao.....Tanzania bao 2 tu zinatosha warudi nchini kwao waka....
 
Back
Top Bottom