gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Niliweka 4+,bora ningekunywa maziwaNauona huo mkeka wa win half time unavyoenda kuchanika 😀😀😀
Niliweka 4+,bora ningekunywa maziwaNauona huo mkeka wa win half time unavyoenda kuchanika 😀😀😀
Setting kisha punguza qualityInakunywa bando,yaani dk 22 GB 1.34
Sever number ngapi, maana nimechagua number oneChagua server ya low quality
Fawanews.comCharnel gani
Napunguzaje qualitySetting kisha punguza quality
Kuzuwia ni rahisi, makocha wasiojua ndiyo kimbilio laoAliyetufundisha mpira wa kujihami katusaidia ila pia katuharibu. Timu ya taifa imepoteza kabisa uwezo wa kutengeneza magoli.
Hivi inarushwa super sport?Msisahau baadae ni Argentina Vs Brazil
Watu wanawaza kushinda uchaguzi tu ndiyo yaliyowajaa vichwani mwaoNashauri tufungue academy ya muda kutrain mastraika. Yaani nchi nzima haina striker hata mmoja wa maana?
Ila unakuta hata tukicheza na vitimu kama Niger au Burundi tunacheza mpira huo huo na uwezo wa kutengeneza nafasi unakuwa hamna.Kuzuwia ni rahisi, makocha wasiojua ndiyo kimbilio lao
Mpira mtajua lini,huoni anavyomsaidia kapombe kukaba hapo!?Mzize apewe kesi ya uzurulaji
Hiyo hiyo server 1 nenda kwenye icon ya settings chagua Quality hiiSever number ngapi, maana nimechagua number one
Saiv starz sio wa kuwachukulia poa. Wachezaji wa yanga na simba wana uzoefu wa michuano ya CAFNiliweka 4+,bora ningekunywa maziwa
Sasa mkuu unataka tupishane na morroco.Kuzuwia ni rahisi, makocha wasiojua ndiyo kimbilio lao
Kagoma hamalizi dk 10 redAingie Kagoma Mudathir hana kitu anafanya hapo
StreamingHivi inarushwa super sport?
Napunguzaje quality