Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
- Thread starter
- #181
Morocco wanakosa ubunifu pale mbele
Inalazimishwa sio kwa kupenda.Timu inacheza hovyo sana, tukiendae kombe la Dunia si majanga. Matupu
Aingie Kagoma Mudathir hana kitu anafanya hapoNadhani lengo ni kupigania tu mojawapo ya zile best loser 4 ila tukienda WC wanangu kwa style hii hatutakula goli 12 kweli?
Weee ile ni off targetFEISAL !, Stars kidogo imani inarudi
Weee ile ni off target
Au mambo ya redioni nini?