Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

KILIMO BILA SIASA SAFI HUTALIMA. SASA KUNA UKAME WA KUTISHA, HAKUNA UMWAGILIAJI, HELA INAKWENDA KWENYE MIPIRA AMBAYO HAINA TIJA KWA BABA NA MAMA WAKO WALIOKO KIJIJINI HWANA MAJI,HAWANA MVUA....NADHANI UNANIELEWA
 
Dah umenikumbusha kitu, wiki iliyopita nilihuzunika sana kukuta shule moja ipo wilaya kabisa ya Morogoro mjini lakini wanafunzi wanakaa chini kabisa kisa madawati hayatoshi lakini ela zinachezewa tu hovyo kwa mambo ya kununua magoli, kuendesha timu, kununua robot, n.k. kama shule iliyopo mjini tu ipo hivyo sipati picha huko vijijini
 
kijijini na mauti tupu
1742971984549.png
 
Siyo mbaya, turudi kwenye sinema zetu.

Jee Derby itachezwa au haichezwi? Wale wazee wa Simba siku ile walikuwa kina nani?

Halafu ni kwa nini wale mbuzi waliokuja nao simba wote walikuwa weusi?

Kumbe kati ya wale mabaunsa na mandonga mtu kazi naye alikuwemo🙄
TUNZA TIKETI KABATINI SIYO KWENYE WALLET ITACHAKAA HARAKA,GEMU ITAPIGWA SIKU YOYOTE
 
KILIMO BILA SIASA SAFI HUTALIMA. SASA KUNA UKAME WA KUTISHA, HAKUNA UMWAGILIAJI, HELA INAKWENDA KWENYE MIPIRA AMBAYO HAINA TIJA KWA BABA NA MAMA WAKO WALIOKO KIJIJINI HWANA MAJI,HAWANA MVUA....NADHANI UNANIELEWA
Kwenye mpira watu wengi wameajiriwa, halafu milioni tano ya goli la mama haiwezi tengeneza irrigation scheme hata wafunge magoli buku
 
Ila sijui ni kwanini Taifa Star haikutumia mbinu ya Simba kukwepa Kichapo. Ingegoma
 
Kwenye mpira watu wengi wameajiriwa, halafu milioni tano ya goli la mama haiwezi tengeneza irrigation scheme hata wafunge magoli buku
This represents one misuse of public funds. We do not know about a million and one unreported expenditures!
 
Rais ana fungu maalum la mambo hayo,hata magu aligawa pesa barabarani,kikwete alimlipa maximo toka fungu hilo
 
Back
Top Bottom