Tuna rais ambaye hata hajui afanye nn ktk jambo ili kupata tija ipi. Hana anachojua.
Ili kuficha udhaifu huo, amekuwa akizunguka na bahsha za fedha kila mahala. Akiona mtu kamchekea ama akimwimbia au akimsifia anampa bahasha. Akidhani kufanya hivyo ndiyo uongozi kumbe hovyo kabisa.
Tangu akalie kiti pale ikulu hajawekeza hata senti 5 kwenye sekta ya michezo kama alivyofanya mzee Kikwete enzi za uwongozi wake.
Hivi kama Stars ingeshinda angeandika pongezi mitandaoni na kuwaamdalia bahasha wachezaji na viongozi wa timu. Akidhani kufanya ndiyo ndiyo kukuza michezo.
Ukiangalia mnyumbuliko wa mwili wa wachezaji wetu na wa wenzetu waliokulia vituo vya kukuza vipaji vya mpira utaona Kuna tofauti kubwa.
Mwambieni huyo mama uongozi siyo kugawa hela, ni kufungua fursa kwa wananchi wa rika zote na nyanja zote.