Alidhani anapiga saluti?Penati kwa Morocco baada ya Sajenti Ibra Bacca kuunawa mpira ndani ya box
Yanafurahia kusonga mbele. Kuna raha kukutana na timu kubwa kwenye kombe la duniaJamaa hata hayana aibu yanashangilia hadi magoli ya penati tena kwa timu ndogo kama sisi?
Tatizo la refa liko wapi ? Ww kubali tanzania hamna mpira basi, ivi kwa akili zako timamu ulikua unaamini Tanzania tutamfunga moroco kwa wachezaji gani hawa kina mzize na msuvaIla soka la Africa! Kuna namna haka ka refa baada ya kufuatwa na wamorocco half time amerudi anakandamiza live
Niimecheka sanaAlidhani anapiga saluti?
Kwa hiyo wee ukigegeda na kupiga bao form 4 b hushangilii?Jamaa hata hayana aibu yanashangilia hadi magoli ya penati tena kwa timu ndogo kama sisi?
Goli la tatu la Morocco linakataliwa mfungaji ameotea
Umeongea kihehe sana😀😆😆😃Eeeeh 3???, nilalage tu
Jamani hapa tutarudisha kweli magoli?