Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Penatiii piga kabisa kichwa cha mwendawazimu
 
Waarabu washenzi sana. Mbona tukio lililosababisha penati halirudiwi vizuri? Wakiona wamebebwa, wanaficha.
 
Siku nyingine kama una bet kwenye simu bet siku 10 kabla. Odds zinapungua kuelekea siku ya mechi

Ila pia kuwa mzalendo😀
Siku 10 ukibeti Yanga wanaeeza kuweka mabaunsa na mechi isichezwe.

Lakini odds ni kama dola zinapanda na kushuka

Hata ungebeti siku 10 kabla kulikuwa hakuna chansi ya kupata odds 1.35 kwa Morroco. Lakini baada ya half time odds zimepanda na kufikia hadi 1.40 maana yake waliobeti online ndio wamufaika wakubwa kuliko hao wa siku 10 kabla.
 
Ila soka la Africa! Kuna namna haka ka refa baada ya kufuatwa na wamorocco half time amerudi anakandamiza live
 
Nyie morocco hawa ndo mabingwa wa afrika mnataka stars ichezaje jamani?
 
Back
Top Bottom