Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
- Thread starter
- #241
Anabutua sanaMpira mtajua lini,huoni anavyomsaidia kapombe kukaba hapo!?
Anabutua sanaMpira mtajua lini,huoni anavyomsaidia kapombe kukaba hapo!?
Unaona kuna nafasi ya kufanya maamuzi hapo,ukigusa mpira washafikaAnabutua sana
Morroco alipewa odds chache sana yani kwenye goli mbili zake peke yake kulikuwa na odds 1.15Nauona huo mkeka wa win half time unavyoenda kuchanika 😀😀😀
Unaona kuna nafasi ya kufanya maamuzi hapo,ukigusa mpira washafika
Mungu ibariki Tanzania 🎵
Mohammed hussein wanapitia kwake ndiyo maana yuko bize, faisal kwa kweli kacheza vizuri kwa timu nzima
Kaunta moja watakuta kibu yupo ndani ya 18Ball possession 80% kwa 20% 🤣🤣🤣
Washinde tu Morocco 🇲🇦 kwa kweli
Kila la heri simba wa atlas
Siku nyingine kama una bet kwenye simu bet siku 10 kabla. Odds zinapungua kuelekea siku ya mechiMorroco alipewa odds chache sana yani kwenye goli mbili zake peke yake kulikuwa na odds 1.15
Kwenye kushinda mechi full time alikuwa na 1.13
Saizi goli 2 ana odsa 2.22 na full time ushindi ana 1.40
Hapo ndio ukisikia Muhindi sio mjinga ndio maeneo kama hayo.
Anakujaza upepo uingie kingi uchague odds ngumu kwa matarajio kuwa game itakuwa ya upande mmoja lakini Hemed Suleima pamoja na Mgunda wanakuja kufanya yasiyotegemewa.
Uyu kibu nin uyu 😃