Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Form 4 B halafu ni cha wote hana historia ya kumkataa mtu.Kwa hiyo wee ukigegeda na kupiga bao form 4 b hushangilii?
Unapataje confidence ya kuvimba kwa watu kuwa wewe ni mwamba umepiga bao pale?
Form 4 B halafu ni cha wote hana historia ya kumkataa mtu.Kwa hiyo wee ukigegeda na kupiga bao form 4 b hushangilii?
Labda itokee kudraJamani hapa tutarudisha kweli magoli?
Timu yetu Head Quater ni Dar lakini yenyewe ikaenda kuondokea Tanga.Umeongea kihehe sana😀😆😆😃
Kwa ivo wamekosea mguu wa kutokea?Timu yetu Head Quater ni Dar lakini yenyewe ikaenda kuondokea Tanga.
Sasa nimeamini kweli huwezi kwenda kwa jirani pasipo kutokea kwako.
Duh kwa hiyo taifa stars cha wote🤣🤣🤣🤣🤣Form 4 B halafu ni cha wote hana historia ya kumkataa mtu.
Unapataje confidence ya kuvimba kwa watu kuwa wewe ni mwamba umepiga bao pale?
Hili lilikuwa ni goli?Madhara ya mechi za mchongo na marefa wabovu huzalisha timu ya taifa dhaifu!
Lakini mbona hawa ndio wa gusa achia twende kwao na pia ni wa u aya ubwela huko caf wanatishaWachezaji wetu "ball control" yao ni ndogo sana. Mpira haukai miguuni pao!
Na kwa akili za hawa nyuma mwiko,unaweza kukuta hata wachezaji wao wako tayari kuharibu ili Karia atukanweTusiwatoe kafara wapambanaji wetu kisa chuki zetu Kwa karia!
Nilicho observe wachezaji wetu ninwaoga sana hawajiamini, kila anaepata mpira anabutua, moroco wame relax wanapiga ball safi hivi hawa makocha hawana somo la confidence kwa wachezaji🥺Wachezaji wetu "ball control" yao ni ndogo sana. Mpira haukai miguuni pao!