Huku si tunawakuza ili kupunguza machungu ya hisia za kutawaliwa hovyo hovyo na CCM.Lakini mbona hawa ndio wa gusa achia twende kwao na pia ni wa u aya ubwela huko caf wanatisha
Ni goli kwenye ligi ya hovyo na refa alikubali kama lillilo zaa penati leo!Hili lilikuwa ni goli?
Na bado cha tatuSasa kwa nini hatuku heza hivi toka mwanzo mpaka tulishakojolewa viwili ndio tunaamka