Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
- Thread starter
- #361
🤣🤣Mkute mzize akicheza na gsm family team, anateleza huyo.
🤣🤣Mkute mzize akicheza na gsm family team, anateleza huyo.
Selemani Mwalimu anachukua nafasi ya Msuva
Akicheza na GSM wenzake unaweza kuzani Zinadine Zidane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkute mzize akicheza na gsm family team, anateleza huyo.
Aisee!! Kaokoa mara ngapi?Kibu na maguvu yake leo 🚮🚮
Timu yako ishakalia chuma 2 hukuMuendelee kutupa update za game sisi wa vijijini huku katombasongwe.
Mkuu mbona wewe unajitoa?Timu yako ishakalia chuma 2 huku
Kazi ya Kibu ni kuokoa?Aisee!! Kaokoa mara ngapi?
Maelekezo ya Mwalimu ndivyo yalivyokuwa.Kazi ya Kibu ni kuokoa?
Hakuna kitu tusikubali kuwa wanyonge ukweli ni kwamba mpira wetu unahitaji maboresho makubwa sanaVijana wamepambana ila daraja la Morocco bado ni kubwa kwa kufungwa 2 kunakitu upande wetu kimeongezeka maana uwa wana tukanda 3.