Wakiyapanua waarabu sii ndio watawagegeda kabisaWakikaza matako watakimbiaje?
Zimbabwe haoTofauti na watu wasivyotegemea, Tanzania tuna nafasi ya kuushangaza ulimwengu na kufuzu kwenda World Cup 2026.
Kwa kumbukumbu zangu, Tanzania hatujawahi kuwa this close kufuzu World Cup.
Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
Nigeria wabaki tu nyumbani, hawana maajabu yoyote. Sijawahi kuiheshimu hii timu pamoja na kuwahi kupitia kipindi cha kuwa na wachezaji wenye vipaji.Zimbabwe haoView attachment 3283124
tv e nadhanvip cc wa startimes ni chanel gani
Wala daku ndio wataangalia hiyo mechi sie wengine haituhusu.Hivi utashangaa kuna watu watakesha mpaka usiku wa manane kuangalia mechi ambayo matokeo yake tayari yanajulikana! Imagine hiyo timu ya Karia na ccm, imefungwa 3-0 kwenye uwanja wake wa nyumbani! Sasa huko ugenini si itafungwa goli 7-0!
Kocha mwenyewe sasa wa hiyo timu! CV yake inaonesha amewahi kufundisha Mlandege Fc, Mchambawima Fc, Namungo Fc, Coastal Union Fc, Urojo Fc!! Not serious at all.
Live streaming inapatikanaje?..sina azat,na kukaa bandaumiza hadi saa nane kumtazama mtasingwa siwezi00:30 nadhani ni usiku wa kesho
Itakua unawashwa kijeneretaTanzania akitoa walau sare natembea Uchi katikati ya Kariakoo pale
Tunastrimu wapi wazee?Wala daku ndio wataangalia hiyo mechi sie wengine haituhusu.
Kwa AndroidItakua unawashwa kijenereta
Tofauti na watu wasivyotegemea, Tanzania tuna nafasi ya kuushangaza ulimwengu na kufuzu kwenda World Cup 2026.
Kwa kumbukumbu zangu, Tanzania hatujawahi kuwa this close kufuzu World Cup.
Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
Ni wendawazimu kukesha eti unamwangalia Ally Salim Katoro na Kibu DenisHivi utashangaa kuna watu watakesha mpaka usiku wa manane kuangalia mechi ambayo matokeo yake tayari yanajulikana! Imagine hiyo timu ya Karia na ccm, imefungwa 3-0 kwenye uwanja wake wa nyumbani! Sasa huko ugenini si itafungwa goli 7-0!
Kocha mwenyewe sasa wa hiyo timu! CV yake inaonesha amewahi kufundisha Mlandege Fc, Mchambawima Fc, Namungo Fc, Coastal Union Fc, Urojo Fc!! Not serious at all.
Ugome yalipo makao makuu ya Caf! wawaulize Ahly ambao wako jirn tu na shirikisho nn kimetokeaWagome tu kuepusha aibuView attachment 3283074
Wasiwasi wangu ni kwa kipa Salum simwamini kihivyo na Bacca amechoka aanze Hamza. Zimbwe pia asianze aanze Haji Mnoga. Novatus naye apunguze mpira wa kisela, anaweza kutucost tena kwa kadi nyekundu.Labda km unazungumzia like kapu la magoli la ubaya ubwela
Wasiwasi wangu ni kwa kipa Salum simwamini kihivyo na Bacca amechoka aanze Hamza. Zimbwe pia asianze aanze Haji Mnoga. Novatus naye apunguze mpira wa kisela, anaweza kutucost tena kwa kadi nyekundu.
Kwenye matokeo, lolote linawezekana katika soka.