Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Shomari Kapombe anajitahidi kakataa kuwa uchochoro, wawe makini rafu ndani ya 18 kama katika ligi ya Tanzania kimataifa ni penati hakuna kubebwa.
 
Waache wacheze hao kina Bacca na Mudathir wasio na majukumu yoyote ya mbele. Simba ina majukumu mazito ndani ya wiki moja ijayo.
Kibu , Zimbwe ,Kapombe HAWANA majukumu....ikiwa muongo uwe na kumbukumbu...
 
Mechi ya leo inawapa wakati mgumu wachambuzi ambao vipindi vyao vinaanza asubuhi.

Mechi inaisha saa 8 na nusu inabidi hapo walale na waamke mapema kuwahi studio.

Halafu unakuta wanaiahi mbali na vituo vyao vya studio.

Aisee
 
Wa magezeti ndo watapata taabu sana au wachapishe tu habari kwamba taifa star yadoncosha point tatu muhimu,

Maana kufungwa ni lazima
 
Nashauri tufungue academy ya muda kutrain mastraika. Yaani nchi nzima haina striker hata mmoja wa maana?
 
Back
Top Bottom