Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

asante Bwana yesu, pesa za masikni zimeokoka. ASANTE BWANA YESU.
 
Je, kwa matokeo haya ina maana tumeshatilewa au bado kuna nafasi ya kupenya ?
 
59’ Mlima wa matokeo ushakuwa mkubwa kwa Taifa Stars.
 
Muda mrefu tena haswa kaka tuache pia mambo ya Usimba na Uyanga
 
Muda mrefu ni kama miaka mingapi?
 
Muda mrefu ni kama miaka mingapi?
Inategemea na mipango kama Nchi na si Tff maana Tff apo wameshafuka mwisho.
Hatuna wachezaji wengi wanao pata nafasi ya kwenda kucheza nje kwaiyo kwa kupitia uraia pacha kama serikali ingeruhusu tungefanikiwa.

Tupate wawekezaji wengi kama Azam wana zalisha wachezaji wengi kupitia kituo chao, GSM na MO wengi wawekeze kwenye vilabu vingine vilivyo baki.
Turekebishe taratibu zetu nyingi za uendeshaji soka apa nchini kuna ubabaishaji baadhi ya maeneo.
 
NIMEWADHARAU WATANZANIA WA JF! KWANINI? ONA MPIRA, MPAKA SASA 21 GAGES RESPONSE.

WEKA ISSUE INAYOHUSU MASLAHI MAPANA YA TAIFA NA VIZAZI IJAVYO, SUCH AS KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI, KUPOTEA KWA WATU, KUTEKWA, MAJI HAKUNA, UMEME HAKUNA ETC ETC NOBODY WRITES ANYTHING!
 
Katiba mpya ni kwa ajiyyenu wanasiasa,sisi tumeamua kuchagua mpira na kilimo,mnataka wote tuimbe no reform no election!!
 
Bongo kila kitu siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…