Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Labda tushinde njaa..!
Stars imfunge Morocco kwao!?
Kichekesho..🤣🤣
Nawaamimi vijana watapambana. Tuna kina Kapombe, Zimbwe, Kibu wameshawahi kukaza mbele ya Wydad na mashabiki wako ndani ya uwanja wa Mohammed V.

Tumepunguza gape na waarabu pakubwa sana. Tuwe wazalendo.
 
Kundi la taifa stars linatimu tano. mbona makundi mengine yanatimu sita.

Je viongozi wa makundi ndio watakaoenda worldcup au kuna hatua zingine tena ?
 
Wagome tu kuepusha aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…