Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Wala daku ndio wataangalia hiyo mechi sie wengine haituhusu.
 
NCHI YETU NI MASIKINI MNO MASHINDANO KAMA HAYA HAYAFAI KUSHIRIKI.
 
Nipo naanda vitafuno vyaa morng nikisubira mechi yao hapa ole wafunge ase

 
Labda km unazungumzia like kapu la magoli la ubaya ubwela
Tofauti na watu wasivyotegemea, Tanzania tuna nafasi ya kuushangaza ulimwengu na kufuzu kwenda World Cup 2026.

Kwa kumbukumbu zangu, Tanzania hatujawahi kuwa this close kufuzu World Cup.

Leo tukijitahidi tukashinda 2-0 tunatoboa!
 
Ni wendawazimu kukesha eti unamwangalia Ally Salim Katoro na Kibu Denis
 
Kwamba umekanda ngano unataka kupika chapati kwa halii hii kataa ndoa wameongeza point nyingine 3
 
Labda km unazungumzia like kapu la magoli la ubaya ubwela
Wasiwasi wangu ni kwa kipa Salum simwamini kihivyo na Bacca amechoka aanze Hamza. Zimbwe pia asianze aanze Haji Mnoga. Novatus naye apunguze mpira wa kisela, anaweza kutucost tena kwa kadi nyekundu.

Kwenye matokeo, lolote linawezekana katika soka.
 
Hapa kwa kipa ni tatzo kweli lkn ngoja tuishi na hili la mpira kuwa unaweza kuamua lolote kwenye matokeo ukizingatia na mabadiliko ya kimpira na matokeo ya kushangaza ulimwenguni
Wasiwasi wangu ni kwa kipa Salum simwamini kihivyo na Bacca amechoka aanze Hamza. Zimbwe pia asianze aanze Haji Mnoga. Novatus naye apunguze mpira wa kisela, anaweza kutucost tena kwa kadi nyekundu.

Kwenye matokeo, lolote linawezekana katika soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…